Mkoa wa Moyen-Ogooué
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Moyen-Ogooué ni moja kati ya mikoa tisa ya Gabon. Mkoa umechukua eneo la kimomita za mraba zipatazo 18,535. Mji mkuu wa mkoa huu ni Lambaréné.
Peke yake miongoni mwa mikoa ya Gabon, Moyen-Ogooué haina pwani ya bahari wala mpaka wa nchi ya jirani. Mkoa umepakana na mikoa ifuatayo:
- Woleu-Ntem - kaskazini
- Ogooué-Ivindo - mashariki
- Ogooué-Lolo - kusini-mashariki, katika pembenne ya nchi
- Ngounié - kusini
- Ogooué-Maritime - kusini-mashariki
- Estuaire - kaskazini-magharibi
Moyen-Ogooué imepakana na mingine mingi kuliko mkoa wowote nchini Gabon.
Departments
haririMoyen-Ogooué imegawanyika katika departments 2:
Makala hii kuhusu maeneo ya Gabon bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkoa wa Moyen-Ogooué kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |