Mpangilio wa matendo
Katika hisabati, mpangilio wa matendo ni kundi la desturi zinazoelezea matendo yanayotekelezwa kwanza ili kuhesabu milinganyo.
Mpangilio wa matendo umesanifishwa kuliweka kila tendo katika kipaumbele maalumu. Matendo yenye kipaumbele cha juu hutekelezwa kabla ya matendo yenye kipaumbele cha chini.[1]
Vifupi
haririMpangilio mara nyingi hukumbukwa kwa kifupi MAGAZIJUTO, kutokana na MAbano, GAwanya, ZIdisha, JUmlisha, TOa. Kifupi chengine ni MAPEGAZIJUTO, kutokana na MAbano, kiPEo, GAwanya, ZIdisha, JUmlisha, TOa. Hivyo, MAPEGAZIJUTO ni kamili zaidi, kwa sababu inazingatia tendo la kipeo.[1]
Mifano
haririKuzidisha hukokotolewa kabla ya kujumlisha:
Matendo baina ya mabano hukokotolewa kabla ya kuzidisha:
Vipeo hukokotolewa kabla ya kuzidisha, na kuzidisha kabla ya kujumlisha:
Alama ya kipeuo, kama mabano, huweka matendo katika kundi la kukokotoa kwanza:
Mstari mlalo, alama mojawapo inayoashiria sehemu, pia huweka matendo katika kundi:
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 Hisabati: Kitabu cha Mwanafunzi: Darasa la Saba (tol. la 1). Dar es Salaam, Tanzania: Taasisi ya Elimu Tanzania. 2020. ISBN 978-9987-09-148-5.
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mpangilio wa matendo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |