Mrija ni bomba jembamba linalopatikana mwilini au linalotengenezwa na binadamu.

Kazi yake ni kupitisha au kufyonza hewa au kiowevu.