Msafsafi
Msafsafi (Salix spp.) | ||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Picha ya Msafsafi mweupe
| ||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
|
Misafsafi (kutoka Kiarabu: صفصاف; Kilatini: Salix) ni familia ya miti fulani imeayo kando ya maji mengi katika Nusudunia ya Kaskazini. Misafsafi inayojulikana sana ni Msafsafi wa Babeli (Salix babylonica) kutoka Uchina na Msafsafi Mweupe (Salix alba) kutoka Ulaya.
Spishi
haririSalix, Msafsafi (Willow)
- Salix acutifolia, Msafsafi Majani-marefu (Long-leaved Violet Willow)
- Salix alba, Msafsafi Mweupe (White Willow)
- Salix amygdaloides, Msafsafi Majani-fyulisi (Peachleaf Willow)
- Salix arctica, Msafsafi wa Aktiki (Arctic Willow)
- Salix atrocinerea, Msafsafi Majivu (Grey Willow)
- Salix aurita, Msafsafi-masikio (Eared Willow)
- Salix babylonica, Msafsafi wa Babeli (Babylon Willow au Peking Willow)
- Salix bebbiana, Msafsafi wa Bebb (Bebb's Willow or Beaked Willow)
- Salix bonplandiana, Msafsafi wa Bonpland au Ahwehote (Bonpland Willow au Ahuejote)
- Salix boothii, Msafsafi wa Booth (Booth's Willow)
- Salix breweri, Msafsafi wa Brewer (Brewer's Willow)
- Salix caprea, Msafsafi Mkuu (Great Willow au Pussy Willow)
- Salix caroliniana, Msafsafi wa Pwani (Coastal Plain Willow)
- Salix cinerea, Msafsafi Kijivu (Grey Willow)
- Salix cordata, Msafsafi-mchanga (Sand Dune Willow)
- Salix delnortensis, Msafsafi wa Del Norte (Del Norte Willow)
- Salix discolor, Msafsafi wa Amerika (American Willow)
- Salix drummondiana, Msafsafi wa Drummond (Drummond's Willow)
- Salix eastwoodiae, Msafsafi wa Eastwood (Eastwood's Willow)
- Salix exigua, Msafsafi Majani-madogo (Narrowleaf Willow)
- Salix gooddingii, Msafsafi Mweusi wa Goodding (Goodding's Black Willow)
- Salix herbacea, Msafsafi Mdogo (Dwarf Willow)
- Salix hookeriana, Msafsafi wa Hooker (Hooker's Willow)
- Salix laevigata, Msafsafi Mwekundu (Red Willow)
- Salix lutea, Msafsafi Manjano (Yellow Willow)
- Salix matsudana, Msafsafi wa Uchina (Chinese Willow)
- Salix mucronata, Msafsafi wa Afrika Kusini (Safsaf Willow)
- Salix myrtilloides, Msafsafi wa Bwawa (Swamp Willow)
- Salix nigra, Msafsafi Mweusi (Black Willow)
- Salix pentandra, Msafsafi-mbei (Bay Willow)
- Salix planifolia, Msafsafi Majani-Almasi (Diamondleaf Willow)
- Salix polaris, Msafsafi wa Ncha ya Kaskazini (Polar Willow)
- Salix prolixa, Msafsafi wa MacKenzie (MacKenzie's Willow)
- Salix purpurea, Msafsafi Urujuani (Purple Willow)
- Salix tetrasperma, Msafsafi wa Uhindi (Indian Willow)
- Salix triandra, Msafsafi Majani-malozi (Almond-leaved Willow)
- Salix viminalis, Msafsafi wa Kawaida (Common Osier)
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Msafsafi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |