Msikiti wa Nurul Islam

Msikiti wa Nurul Islam ni msikiti unaopatikana mjini Bo-Kaap eneo la Cape Town, Afrika Kusini.

Wakati ulipoanzishwa mnamo 1844, jengo lilikuwa linaweza kupokea waumini 150. Mwaka wa 2001 walilikarabati, na sasa linaweza kupokea waumini wapatao 700.[1]

Marejeo hariri

  1. Nurul Islam Mosque Archived 8 Julai 2015 at the Wayback Machine. official website

33°55′19″S 18°24′56″E / 33.92194°S 18.41556°E / -33.92194; 18.41556