1844
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1810 |
Miaka ya 1820 |
Miaka ya 1830 |
Miaka ya 1840
| Miaka ya 1850
| Miaka ya 1860
| Miaka ya 1870
| ►
◄◄ |
◄ |
1840 |
1841 |
1842 |
1843 |
1844
| 1845
| 1846
| 1847
| 1848
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1844 BK (Baada ya Kristo).
MatukioEdit
WaliozaliwaEdit
Kalenda ya Gregori | 2021 MMXXI |
Kalenda ya Kiyahudi | 5781 – 5782 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2774 |
Kalenda ya Ethiopia | 2013 – 2014 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1470 ԹՎ ՌՆՀ |
Kalenda ya Kiislamu | 1443 – 1444 |
Kalenda ya Kiajemi | 1399 – 1400 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2076 – 2077 |
- Shaka Samvat | 1943 – 1944 |
- Kali Yuga | 5122 – 5123 |
Kalenda ya Kichina | 4717 – 4718 庚子 – 辛丑 |
- 7 Januari - Mtakatifu Bernadeta Soubirous, mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa
- 18 Machi - Nikolai Rimsky-Korsakov, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 16 Aprili - Anatole France (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1921)
- 3 Juni - Garret Hobart, Kaimu Rais wa Marekani
- 7 Julai - Camillo Golgi (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1906)
- 12 Agosti - Muhammad Ahmad ibn Abd Allah atakayeitwa Al-Mahdi nchini Sudan
- 17 Agosti - Menelik II, mfalme mkuu wa Uhabeshi
- 23 Oktoba - Sarah Bernhardt, mwigizaji tamthilia kutoka Ufaransa
- 27 Oktoba - Klas Pontus Arnoldson (mwanasiasa Msweden, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908)
- 25 Novemba - Karl Friedrich Benz (mhandisi Mjerumani na mtengenezaji motokaa)
WaliofarikiEdit
- 27 Juni - Joseph Smith, Mdogo, mwanzilishi wa Umormoni aliuawa
Wikimedia Commons ina media kuhusu: