Msimbo nchi (kwa Kiingereza: country code) ni msimbo mfupi wenye herufi na namba unaotumika ili kuwakilisha nchi na maeneo mengine.

Misimbo nchi ya Australia na Pasifiki.

Marejeo hariri

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).