Mtaguso wa Orange (529)

Mtaguso wa pili wa of Orange (au Sinodi ya pili ya Orange) ulifanyika mwaka 529 huko Orange, katika Ufalme wa Waostrogoti. Ulipitisha sehemu kubwa ya teolojia ya Augustino kuhusu neema ya Mungu, pamoja na kulaani mafundisho mbalimbali ya Wapelajiupande.

Tanbihi hariri

Vyanzo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtaguso wa Orange (529) kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.