Mtandao Kuruba
Katika utarakilishi, Mtandao Kuruba (kifupi: MK; kwa Kiingereza: local area network) ni mtandao wa tarakilishi unaounganisha tarakilishi kadhaa katika eneo dogo kama shule, nyumba au chuo kikuu.
MarejeoEdit
- Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).