Mto Apiyo unapatikana nchini Uganda kati ya mkoa wa Kaskazini na Mkoa wa Mashariki.

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri