Mto Arkansas ni tawimto mrefu wa mto Mississippi nchini Marekani.

Mto Arkansas
[[Image:
|288px|Mto Arkansas katika jimbo la Colorado, Kansas, Oklahoma na Arkansas]]
Chanzo Lake County, Colorado karibu Leadville
Mdomo Mto Mississippi mjini Napoleon
Nchi Marekani
Urefu 2,364 km
Kimo cha chanzo 3000 m
Tawimito upande wa kulia Mto Canadian, Mto Cimarron, Mto Salt Fork Arkansas
Mkondo 240 m³/s
Eneo la beseni 505,000 km²
Miji mikubwa kando lake Pueblo, Wichita, Tulsa, Little Rock

Viungo vya nje

hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Arkansas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.