Mto Bahr al-Ghazal

(Elekezwa kutoka Mto Bahr el Ghazal)

Mto Bahr el Ghazal (pia: Bahr al Ghazal na Baḩr al Ghazāl; kwa Kiarabu: بحر الغزال, maana yake "mto wa swala") unapatikana Sudan Kusini.

Ndio tawimto muhimu zaidi la Nile. Una urefu wa kilometre 716 (mi 445), ukipitia kinamasi cha Sudd hadi Ziwa No, unapoingia Nile Nyeupe.[1]

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Bahr al-Ghazal". Encyclopædia Britannica Online Library Edition. Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2008-01-21.

Viungo vya nje

hariri

9°31′N 30°25′E / 9.517°N 30.417°E / 9.517; 30.417