Mto Bil Bil ni korongo linalopatikana katika kaunti ya Tana River, kusini mashariki mwa Kenya (eneo la pwani).

Maji yake yanaishia katika Mto Tana na hatimaye Bahari ya Hindi.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri