Pwani
Pwani ni ukanda ulio pembezoni na unaopakana na bahari, mara nyingi huanzia kwenye fukwe hadi umbali kadhaa kuelekea barani.
Baadhi ya maeneo yaliyo pwani ya nchi za Waswahili pia huitwa hivyo 'pwani', na mbali sana na ufukwe panaitwa bara.
Hali kadhalika watu waishio maeneo ya pwani huitwa watu wa pwani.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|