Mto Dalai ni jina la miwili kati ya mito ya Mkoa wa Dodoma (Tanzania ya kati).

Maji yake yanaishia Bahari Hindi kupitia mto Rufiji.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri