Mto Dawa (Jubba)

(Elekezwa kutoka Mto Dawa)

Mto Dawa unapatikana nchini Ethiopia na unaunda mpaka wake na Kenya na Somalia.

Ramani ya mto Dawa.

Ni tawimto la mto Juba ambao unaishia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.