Mto Didinga unapatikana nchini Kenya kutoka mpakani mwa Uganda.

Maji yake yanaishia katika ziwa la magadi linaloitwa Turkana na lililo kubwa kuliko yote ya Kenya. Ni pia ziwa la jangwani lililo kubwa kuliko yote duniani.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri