Mto Ewaso Ng'iro

mto nchini Kenya unaopanda upande wa magharibi wa Mlima Kenya na kutiririka kaskazini kisha mashariki na hatimaye kusini-mashariki, ukipitia Somalia ambako unajiunga na Mto Jubba.

Mto Ewaso Ng'iro unapatikana nchini Kenya. Ni tawimto la mto Lagh Dera ambao tena ni tawimto la mto Juba ambao unaishia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.Pia Mto huu jina lake limetoka katika jamii fulani ,ambao umaanisha mto wa kaki au matope na pia unaafahamika kama mto "Ewaso Nyiro"

Mto Ewaso Ngiro


Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri