Mto Gilgel Gibe (yaani Gibe Mdogo) unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia.

Ni tawimto la mto Gibe, ambao ni tawimto la mto Omo. Kwa njia hiyo maji yake yanaishia katika ziwa Turkana.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Gilgel Gibe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.