Orodha ya mito ya Ethiopia
Mito ya Ethiopia ni mingi; humu imeorodheshwa baadhi tu pamoja na matawimto:
- kulingana na beseni lake (kadiri inavyoelekeza maji yake katika Bahari ya Kati au katika Bahari ya Hindi au katika maziwa na mabonde ya ndani)
- kadiri ya alfabeti.
Kadiri ya beseni
hariri- Mto Atbarah
- Mto Mareb
- Mto Tekeze
- Mto Angereb (Angereb Mkubwa)
- Mto Shinfa
- Mto Abay (Nile ya Buluu)
- Mto Atbarah
- Mto Sobat (Sudan Kusini)
Bahari ya Hindi
haririKwa utaratibu wa alfabeti
haririBaadhi ya mito huenda ikaorodheshwa mara mbili kwa tahajia tofauti kidogo.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu: