Mto Irigu

Mto Irigu unapatikana katika kaunti ya Tharaka-Nithi, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika Bahari Hindi.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit