Mto Kaduna unapatikana nchini Nigeria (Jimbo la Plateau, Jimbo la Kaduna na Jimbo la Niger). Ni tawimto la mto Niger.

Mfumo wa mto Kaduna.
Mto Kaduna kutoka Sea Breeze, Kaduna, 2007.

Njia yake yote ni km 550.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Coordinates: 8°44′40″N 5°47′59″E / 8.744479°N 5.799589°E / 8.744479; 5.799589

  Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Kaduna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.