Mito mirefu ya Afrika

orodha ya makala za Wikimedia

Mito mirefu ya Afrika inaonyeshwa katika orodha ifuatayo.

Mara nyingi mto wa Nile unahesabiwa kuwa mtu mrefu kuliko yote ya Afrika tena duniani. Kadirio la urefu wa mto hutegemea jinsi ya kuhesabu matawimto yake. Orodha inayofuata ina tofauti na orodha inayokadiria kwa namna nyingine.

Urefu
(km)
Jina Mdomo Beseni
(km²)
Kiasi cha maji kinachotolewa
(m³/s)
6.671 Nile pamoja na Kagera Mediteranea 3.071.306 2.832
4.835 Kongo + Luvua pamoja na Luapula na Chambeshi Atlantiki 3.692.062 39.160
4.374 Kongo Atlantiki 3.692.062 39.160
4.184 Niger Atlantiki 2.112.774 9.570
2.574 Zambezi Bahari ya Hindi 1.384.999 7.070
2.272 Ubangi pamoja na Uele Kongo 613.202 7.000
2.160 Oranje Atlantiki 941.421 800
2.153 Kasai Kongo 925.172 10.000
1.820 Shebeli Juba 336.627 -
1.819 Volta pamoja na Volta nyeusi Atlantiki 414.243 1.290
1.800 Okavango inaishia katika delta ya barani ya Okavango 721.258 0
1.740 Chari pamoja na Ouham Ziwa la Chad 669.706 -
1.680 Limpopo Bahari ya Hindi 414.524 800
1.658 Juba Bahari ya Hindi 803.212 550
1.500 Cuando Zambezi - -
1.450 Lomami (mto) Kongo 110.000 1.700
1.430 Senegal pamoja na Bafing Atlantiki 435.981 1.500
1.416 Benue Niger 327.000 -
1.400 Luvua pamoja na Luapula na Chambeshi Kongo - -
1.350 Nile ya buluu (=Abay) Nile 326.400 -
1.288 Shire pamoja na Songwe Zambezi - -
1.287 Aruwimi Kongo 116.000 -
1.251 Vaal Oranje 189.000 -
1.160 Komoé Atlantiki 79.087 -
1.150 Sankuru Kasai - -
1.140 Volta nyeupe Volta - -
1.130 Uele Ubangi - -
1.127 Gambia Atlantiki 69.931 2.000
1.120 Atbara Nile 100.000 -
1.100 Kwango Kasai 263.500 2.700
1.100 Sangha pamoja na Mambere Kongo 180.418 -
1.100 Wadi Draa (mto wa muda) Atlantiki 114.569 -
1.094 Ogooué Atlantiki 221.968 -
1.083 Ruvuma Bahari ya Hindi 165.760 -
1.060 Lukenie pamoja na Fimi Kasai - -
1.050 Bani pamoja na Baoulé Niger - -
1.020 Kunene 975 km? Atlantiki 110.024 -
1.000 Kwilu 960 km? Kwango - -
1.000 Molopo (mto wa muda) Oranje (mto) - -