Mto Kafu (Uganda magharibi)

Mto Kafu (pia: Kabi) unapatikana magharibi mwa Uganda (wilaya ya Kibaale, wilaya ya Hoima, wilaya ya Kyankwanzi, wilaya ya Nakaseke, wilaya ya Nakasongola na Wilaya ya Masindi).

Mito na maziwa ya Uganda.

Unaingia katika Nile ya Viktoria.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri