Nile ya Viktoria
Nile ya Viktoria ni sehemu ya mto Naili inayoanzia kaskazini mwa ziwa Nyanza karibu na Jinja (Uganda), inaunda ziwa Kyoga na matawi yake katikati ya nchi, halafu inaelekea magharibi kwenye ziwa Albert.
Sehemu kati ya maziwa Kyoga na Albert pengine inaitwa "Nile ya Kyoga". Mto ukitoka ziwa Albert unaitwa "Nile ya Albert".
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nile ya Viktoria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |