Mto Kambu (Kitui) unapatikana katika kaunti ya Kitui, mashariki mwa Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Ahi-Galana-Sabaki, na hatimaye katika bahari ya Hindi.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri