Kaunti ya Kitui
Kwa makao makuu, soma Kitui
Kaunti ya Kitui | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kaunti | |||||
Mbuga ya Kitaifa ya Tsavo Mashariki, Kaunti ya Kitui | |||||
| |||||
Kitui County in Kenya.svg Kaunti ya Kitui katika Kenya | |||||
Coordinates: 1°29′S 38°23′E / 1.483°S 38.383°E | |||||
Nchi | Kenya | ||||
Namba | 15 | ||||
Ilianzishwa | Tarehe 4 Machi, 2013 | ||||
Ilitanguliwa na | Mkoa wa Mashariki | ||||
Makao Makuu | Kitui | ||||
Miji mingine | Mwingi | ||||
Gavana | Charity Kaluki Ngilu,EGH | ||||
Naibu wa Gavana | Gideon Nzau Wathe | ||||
Seneta | Enoch Kiio Wambua | ||||
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa) | Irene Muthoni Kasalu | ||||
Bunge la Kaunti | Bunge la Kaunti ya Kitui | ||||
Wawakilishi wa Bunge la Kaunti waliochaguliwa | 40 | ||||
Maeneo bunge/Kaunti ndogo | 8 | ||||
Eneo | km2 30 429.5 (sq mi 11 748.9) | ||||
Idadi ya watu | 1,136,187 | ||||
Wiani wa idadi ya watu | 37 | ||||
Kanda muda | Saa za Afrika Mashariki (UTC+3) | ||||
Tovuti | kitui.go.ke |
Kaunti ya Kitui ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,136,187 katika eneo la km2 30,429.5, msongamano ukiwa hivyo wa watu 37 kwa kilometa mraba[1].
Makao makuu yako Kitui.
Jiografia
haririKaunti ya Kitui inapakana na kaunti za Tana River, Taita Taveta, Makueni, Machakos, Embu na Tharaka Nithi. Ina hali ya tabianchi kavu na nusu kavu. Ina vilima na ardhi tambarare. Kitui hupata misimu miwili ya mvua, Machi hadi Mei na Oktoba hadi Disemba.
Utawala
haririKitui imegawanywa katika maeneo bunge yafuatayo[2]:
- Ikutha 82,964
- Katulani 47,108
- Kisasi 46,142
- Kitui Central 105,991
- Kitui West 70,871
- Kyuso 76,867
- Lower Yatta 63,329
- Matinyani 47,811
- Migwani 79,255
- Mumoni 29,344
- Mutitu 55,287
- Mutitu North 21,215
- Mutomo 113,356
- Mwingi Central 108,713
- Mwingi East 85,139
- Nzambani 46,788
- Thagicu 15,136
- Tseikuru 40,871
Tazama pia
haririMarejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ "Kitui County Assembly - Wards". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-04-12. Iliwekwa mnamo 2018-04-17.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Kitui kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |