Mto Kazita unapatikana katika kaunti ya Nyeri, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika Bahari Hindi.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri