Mto Kemuaa ni jina la miwili kati ya mito inayopatikana katika kaunti ya Kitui, mashariki mwa Kenya.

Maji yake yanaishia katika bahari ya Hindi, ya mmojawapo kupitia mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na ya pili kupitia mto Athi-Galana-Sabaki.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit