Mto Kiwira

Mto Kiwira ni kati ya mito ya mkoa wa Songwe (Tanzania Kusini Magharibi) ambayo maji yake yanaishia katika bahari Hindi kupitia Ziwa Nyasa na mto Zambezi.

Daraja la Mungu kwenye mto Kiwira.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit