Mkoa wa Songwe


Mkoa wa Songwe ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania yenye postikodi namba 54100 ukiwa umemegwa kutoka ule wa Mbeya mwaka 2016.[2]

Mkoa wa Songwe
Mahali paMkoa wa Songwe
Majiranukta: 2°45′S 32°45′E / 2.750°S 32.750°E / -2.750; 32.750
Nchi Tanzania
Wilaya
Mji mkuu Vwawa
Serikali
 - Mkuu wa Mkoa
Eneo
 - Jumla 26,595 km²
 - Kavu 25,534 km² 
 - Maji 1,061 km² 
Idadi ya wakazi (2016)
 - Wakazi kwa ujumla 1,136,415[1]
Tovuti:  http://www.songwe.go.tz/

Jina la mkoa limetokana na lile la mto Songwe.

Makao makuu yako Vwawa.

Mkoa huu una halmashauri za[3]:8

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

MarejeoEdit

  1. 2016 Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo ya Uchaguzi kwa Mwaka 2016, Tanzania Bara. (sw) 190. Ofisi ya Taifa ya Takwimu (2016-04-01). Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-12-27. “"Makadirio ya idadi ya watu katika mkoa wa Songwe kwa mwaka 2016 yalikuwa ni watu 1,136,415"”
  2. Uchapishaji wa orodha ya Postikodi (sw). Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) (2016). Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-07-29.
  3. Mwangela, Nicodemas E. (2019). "SONGWE REGION INVESTMENT GUIDE" (in en). United Nations Development Programme (UNDP) (Mkoa wa Songwe). ISBN 978-9987-664-01-6 . https://songwe.go.tz/storage/app/uploads/public/5e3/a61/249/5e3a612499563950020443.pdf.