Mto Kisigo

(Elekezwa kutoka Mto Kizigo)

Mto Kisigo ni mto wa Tanzania ya kati na ni tawimto la Ruaha Mkuu. Mto Kisigo unatokea mkoa wa Singida na kuingia katika Ruaha Mkuu kwenye lambo la Mtera.

Baada ya hapo Ruaha Mkuu unapitia tambarare ya Kilombero hadi kuishia katika mto Rufiji ambao unamwaga maji mengi katika bahari Hindi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri