Mto Kraai
Mto Kraai (kwa maana ya "mto wa Kunguru", ing. "Crow River") ni tawimto la Mto Orange nchini Afrika Kusini. Chanzo chke ni kuungana kwa mito Bell na Sterkspruit. Njia yake imekuwa ndefu kwa sababu inapindapinda sana ingawa umbali baina ya chanzo na mdomo kwenye mji wa Aliwal North ni kama km 100 pekee.
Chanzo | Maungano ya mito Bell na Sterkspruit |
Mdomo | Mto Orange |
Nchi | Afrika Kusini |
Urefu | m 1,340 |
Kimo cha chanzo | 1,845 |
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Kraai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |