Mto Lagh Sure
Mto Lagh Sure ni korongo linalopatikana katika kaunti ya Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya, mipakani kwa Ethiopia na Somalia.
Maji yake yanaishia katika mto Juba ambao unaingia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Lagh Sure kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |