Mto Lak Mura ni korongo linalopatikana katika kaunti ya Garissa, mashariki mwa Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Jubba na hatimaye katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri