Kaunti ya Garissa
Kaunti ya Garissa ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Kaunti ya Garissa | |
---|---|
Kaunti | |
Msikiti wa Jamia, Garissa | |
Garissa County in Kenya.svg Kaunti ya Garissa katika Kenya | |
Coordinates: 0°27′25″S 39°39′30″E / 0.45694°S 39.65833°E | |
Nchi | Kenya |
Namba | 7 |
Ilianzishwa | Tarehe 4 Machi, 2013 |
Ilitanguliwa na | Mkoa wa Kaskazini Mashariki |
Makao Makuu | Garissa |
Miji mingine | Dadaab, Hagadera, Ijara |
Gavana | Ali Bunow Korane |
Naibu wa Gavana | Abdi Muhumed Agane |
Seneta | Mohamed Yusuf Haji |
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa) | Anab Mohamed Gure |
Bunge la Kaunti | Bunge la Kaunti ya Garissa |
Wawakilishi wa Bunge la Kaunti waliochaguliwa | 30 |
Maeneo bunge/Kaunti ndogo | 6 |
Eneo | km2 44 736 (sq mi 17 273) |
Idadi ya watu | 841,353[1]. |
Wiani wa idadi ya watu | 19 |
Kanda muda | Saa za Afrika Mashariki (UTC+3) |
Tovuti | garissa.go.ke |
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 841,353 katika eneo la km2 44,736, msongamano ukiwa hivyo wa watu 19 kwa kilometa mraba[2]..
Kaunti ya Garissa ni makazi ya wakimbizi zaidi ya 260,000. Kambi ya wakimbizi ya Dadaab iliyo katika kaunti hii ndio kubwa zaidi Kenya.
Makao makuu yako Garissa.
Utawala
haririKaunti ya Garissa ina maeneo yafuatayo ya utawala[3]:
Eneo bunge | Kata |
---|---|
Garissa Mjini | Waberi, Galbet, Garissa Mjini, Iftin |
Balambala | Balambala, Danyere, Jarajara, Saka, Sankuri |
Lagdera | Modogashe, Bename, Goreale, Maalamin, Sabena, Baraki |
Dadaab | Dertu, Dadaab, Labasigale, Damajale, Liboi, Abakaile |
Fafi | Bura, Dekaharia, Jarajila, Fafi, Nanighi |
Ijara | Hulugho, Sangailu, Ijara, Masalani |
- Balambala 32,257
- Dadaab 185,252
- Fafi 134,040
- Garissa 163,914
- Hulugho 133,984
- Ijara 141,591
- Lagdera 50,315
Tazama pia
haririMarejeo
hariri- ↑ www.knbs.or.ke
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-29.
- ↑ http://countytrak.infotrakresearch.com/Garissa-county/
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-29.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Garissa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |