Mto Lol

Mto Lol (pia: Loll) unapatikana kaskazini mwa Sudan Kusini, ukiundwa na mto Pongo na mto Sopo.

Ni tawimto la mto Kiir (Bahr al-Arab).

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit