Mto Bahr al-Arab

(Elekezwa kutoka Mto Kiir)

Bahr al-Arab (pia: Mto Kiir) unapatikana nchini Sudan na kuunda sehemu ya mpaka wake na Sudan Kusini. Una urefu wa kilometa 800.

Unaishia katika Mto Bahr al-Ghazal, tawimto kuu la Nile.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri