Mto Lugalawa unapatikana katika Mkoa wa Njombe (Nyanda za Juu za Kusini, Tanzania).

Maji ya mto huo yanaishia Bahari Hindi kupitia mto Zambezi.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri