Mto Lukosi ni mto wa Tanzania Kusini Magharibi ambao ni tawimto wa Ruaha Mkuu ambao unapitia Iringa na tambarare ya Kilombero hadi kuishia katika mto Rufiji ambao unamwaga maji mengi katika bahari Hindi.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri