Mto Macal ni mto unaokatiza Wilaya ya Cayo magharibi mwa Belize. Maeneo kando ya mto ni pamoja na mji wa zamani wa Maya wa Cahal Pech na Bustani za Botanic za Belize.

Huu ndio mto Macal

Kuna matawimto kadhaa ya mto Macal yakiwa ni pamoja na mito ifuatayo: Privassion, Rio On, Rio Frio, Mollejon na Coco Camp.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.