Mto Mara Kaskazini

Mto Mara Kaskazini unapatikana katika kaunti ya Tharaka-Nithi, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika Bahari Hindi.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri