Mto Maze unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia.

Ni tawimto la mto Gibe ambao unapoungana na mto Wabe unaunda mto Omo unaoishia katika ziwa Turkana.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Maze kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.