Mto Migori unapatikana nchini Kenya. Ni tawimto la mto Gucha ambao unaishia katika ziwa Viktoria, ukichangia hivyo mto Naili na hatimaye Bahari ya Kati.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit