Mto Milgis ni korongo linalopatikana nchini Kenya. Ni tawimto la mto Lagh Dera ambao tena ni tawimto la mto Juba ambao unaishia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri