Mto Mligaji unapatikana Tanzania mashariki, ukitenganisha mkoa wa Tanga na mkoa wa Pwani.

Maji yake yanaishia katika Bahari Hindi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri