Mto Mukengeria

Mto Mukengeria unapatikana katika kaunti ya Kirinyaga, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika Bahari Hindi.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit