Mto Mukuyuni (Makueni)

habari ndugu zangu je mnamjua Nancy innoss ni Tanzania model kutoka moshi Kilimanjaro

Mto Mukuyuni (Makueni) unapatikana katika kaunti ya Makueni, kusini mwa Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Athi-Galana-Sabaki na hatimaye katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri