Mto Mwita Syano unapatikana katika kaunti ya Kitui, mashariki mwa Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika bahari ya Hindi.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri