Mto Mzima
Mto Mzima unapatikana katika kaunti ya Taita-Taveta, kusini mwa Kenya.
Maji yake yanaishia katika mto Galana na hatimaye katika Bahari Hindi.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Mzima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |